Halafu wanaopigwa sana hawana kosa lolote,usumbufu wa ng'ombe mbele au katikati adhabu wanaambulia walio karibu na mchungaji.Umewaza mbali sanaHakuna mnyama ninayemuonea huruma kama ng'ombe wa mnadani aiseee wanatandikwa fimbo mpaka alama zinatokea
HahahahaNi balaa halafu hapo alipo ni mme wa mtu.
Kuhusu nn?
Kweli kabisaHalafu wanaopigwa sana hawana kosa lolote,usumbufu wa ng'ombe mbele au katikati adhabu wanaambulia walio karibu na mchungaji.Umewaza mbali sana
[emoji124] [emoji124] ohoooo!!!
Khnykmnbfehbdkhfvhg....Kuhusu nn?
Sijui hata umefikiria nini. Binadamu mara nyingi tunatumia madaraka yetu vibaya na hata hatukai na kufikiri kuwa wanyama hawa nao wanahisi maumivu.
Hahahaa kama ni hivyo asahau. Pm napaogopaKhnykmnbfehbdkhfvhg....
Bora umeshituka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa kama ni hivyo asahau. Pm napaogopa
Yaan we acha tu, hii ndoa yangu ni balaa.Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi
Mh kwani umeshindwa nn kupita kimya?[emoji124] [emoji124] ohoooo!!!
Makapuku wanazinguaa....Nipo mkuu. Kwema lakini? Kule Makapuku mnasemaje?
Moja kati ya vitu sipend ni maswali kuhusu mie inakua haina maana ya fake ID