Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mdogo wangu aliwahi kupata ajali ya pikipiki maeneo ya Kimara, alijibamiza kichwa na akapoteza fahamu, bahati nzuri askari wa usalama barabarani alikuwa karibu, akakimbilia simu yake kisha akatafuta jina lililoandikwa mama, na kupiga,” amesema.