myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahahaha.....Natumai mimi na Uniq hatuwezi kukaa viti jirani,
Namuona yuko na hasira kali sbb matumizi yamemuelemea na kifungo sioni km atakiepuka.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahahhah
Unamaanisha????
Fobia hii ni shida na inatesa watu sana. Mtu anaingia katika mahusiano akiwa anategemea mabaya tu. Na kweli mabaya yanatokea, uhusiano unakufa na maumivu yanaendelea...View attachment 575585[emoji15] [emoji15] [emoji15]