Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
nsamaka wapi mzee[emoji23] [emoji23]Zitoshe wapi? Yaani zinachukuliwa mara zipelekwe kwa kichwa kichafu,muda mwingine nisingiziwe mahari sijamalizia ili mradi ni tafrani tu.Bila biashara ya maparachichi na bamia sijui misambwa...ningeionea wapi mie???
Hahahaahha. Wa mzee wa BamiaKwani umeonaje? Unashindwa hata kupiga chabo,mwanafunzi gani wewe?
babe S leo kaonekana???Sema tu na kichwa kichafu,nani asiye kujua mahaba yaliyopo?
babe S [emoji102] [emoji102] [emoji102]Ok, pole sana... Kwa kweli....mi mwenyewe nimebanana siku hizi... Lbd kama leo hivi
[emoji102]Hizi post zako nitazijibu kesho [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Haaaaa Andjul unanitafutaYule mzee yuleee,mwenye upara,namaanisha mstaafu,yaani uliye kuwa umemshikia hela za mafao ya uzeeni.Namaanisha zile hela za ada ulizo kuwa unamlipia bwana yule wa kusoma....sijui umenielewa au nijilipue? Haya,ho chi minh akili zimemrudi,mlivyo mteka mlitaka kumnyamazisha asidai hela ulizo mdhurumu.Anataka umrudishie,wewe baki na ki ben 10 chako etii."Mimi nimenukuu tu"
Hahahha Mzee wa LivaNgisi nayo habari nyingine
Hafu leo ilikuwa siku ya mafundi kutokufunga kwa penalt.