myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wenyewe Yanga hawapendi[emoji3] [emoji3] [emoji3]*Breaking news* Watanzania mnaombwa kuvaa *helmet* ili kujikinga na mpira wa penati uliopigwa na mchezaji wa Yanga Juma Mahadhi, inasemekana utashuka muda wowote kutoka *ANGANI*
Uzuri hawa jamaa wanapenda kwao..
Sikumbuki chochote mkuu
Si unakumbuka kitendo alichokufanyia uniq? Unoko haulipi ili maumivu makali tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa mtaa ganiNimekulia mitaa hiyo, hapo City Center! Pengine tukikutana tunaweza kufahamiana kwani wengi tuliokuwa tunaishi hapo down town tulikuwa tunafahamiana!
Mkuu hali yako?Ndiyo raha na karaha za huku liwale kwa wangido,mwambie andjul aje huku mana kuna misambwanda ya kutosha[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Safi kabisaMkuu hali yako?
Simba wanyika, Simba Luwala, Simba wa buyenze[emoji3] [emoji3] [emoji3]