Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna matumizi mengi sana ya kamera ya simu janja zetu ukiachana na yale tuliyo yazoea ya kupiga picha tuu


Unajua kama kamera ya simu janja yako inaweza ikawa na matumizi lukuki ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza yakurahisisha maisha yako

1. Scan Nyaraka
 
Kamera ya simu janja yako pia inaweza ikawa ina’scan’ nyaraka tofauti tofauti. Pata picha unakuwa na ‘scanner’ ambayo ipo mfukoni kwako. Unaweza uka ‘scan’ vitu kama vile mikataba,risiti au kitu chochote kilichopo katika karatasi na unataka ukifanye kiwe kidigitali

Baada ya hapo unaweza ukaamua kutuma vitu hivyo katika barua pepe au unaweza ukavihifadhi katika mfumo wa PDF au JPG
Unataka ku’scan’ vitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…