Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

23. Rais wa kwanza Kim Jong iL Alipendelea Sana Kula Nyama Ya Punda Na Kunyoa Panki, ni Rais Katili Asiye Na Huruma Hata Chembe,na Sasa Mwanae Rais Kim Jong Un Kafuata Nyayo Za Baba Yake,naye Hupenda Kunyoa Panki,kula Nyama Ya Punda,na Pia Anaua Wapinzani Wake,aliamuru Mjomba Wake Auawe Kikatili Kwa Kushambuliwa Na Kundi Kubwa La Mbwa Wenye Njaa Kali kama alivyokuwa Baba Yake,kim Jong Un pia Ni Muoga Sana Kusafiri Nje Ya Nchi Yake Kwa Sababu Ya Kuhofia Usalama
 
Nimemis likes pls tupieni wanangu wa nguvu wa JF
Wanao???

f141c0bb3667506e267cb76c62ecb323.jpg
 
Homgera sana Mkuu na yule Coutinho akibaki halafu muepuke majeruhi ya muda mrefu basi mnaweza kuwa tishio kubwa sana. Mlicheza kwa kujiamini na mashambulizi ya uhakika. Mkicheza hivyo na MANU, Chelsea, Leicester Spurs na MAN C then the sky is the limit.
Hahahahaha Mkuu kweli jana liver walipiga mpira wa kufa mtu
 
Back
Top Bottom