Poleni sanaWe acha tu Mkuu, nilijua tunafungwa lakini sikutegemea kipigo kizito hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhali uje unifundishe Kihaya au Kinyarwanda kitanisaidia katika biashara zangu. Kifaransa mmmmh....
Sawa mkuu. Franceee mnakulanga eeh? Safi sana. Nami nitaonja siku moja nikijaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uku Nyakati ya franceee 2nakulanga ugali lakn inakuwanga mutam sio kama ya nyakati ya koromijeee kwenu [emoji23][emoji23]
KaribuMpo humu kwenye Uzi pendwa
................ila usipost matusi 2
ata kama ki2 hakina maana we post 2 2tagonga likes
Mambo ya siasa ni magumu sanaJK, Vasco Da Gama, Mkwere, Mpole, Mr. Dhaifu, Mtu wa Kucheka cheka, Mlezi wa mafisadi, fisadi na majina mengine mengi ya dharau aliyopachikwa na wapinzani leo amegeuka shujaa. Ana moral authority gani huyu ya kuongelea utawala bora wakati ni pingamizi la kikatiba tu ndo linamweka nje vinginevyo angekuwa ndani kwa ufisadi, mikataba mibovu ya madini, pesa za Escrow na uozo mwingineo? Siyo yeye aliyetia sahihi sheria hii ya makosa ya mtandao tunayohangaika nayo? Mnaongelea nini?
ukuye mukuu siku moyaa kuonjaa muugali ya franceeSawa mkuu. Franceee mnakulanga eeh? Safi sana. Nami nitaonja siku moja nikijaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]