myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kusaidia na kufariji..
ho chi minh dalali tapeli umeuza msikiti kwa mmasai unasema nyuma yako.
HahahahahaNipo Liwale/Msumbiji ya Tz,sikuwahi tegemea nitafika huku,kukutana na wanyama pori ni kama kukutana na likes za humu
Mzee w kuuza viwanja visivyo pimwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muacheni tu jamani,mbona hata ruvu walipigwa 7 bila ila hawajalalamika.
Umefurahiii mwenyewe[emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We mzee bado unaendelea na ile shughuli yako
Poleni sana waungwana, ila ukiwa na mwanaume anaeishabikia arsenal basi ujue huyo ni mvumilivu kwa kila kitu. Huyo km ni mke apewe tu hata bila mahari.