Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi ulikuwa hujamstukia? Mimi machale yalishanicheza kitambo! Nilihisi siku nyingi tu kwamba huyu atakuwa kwenye sekta ya afya! Hitimisho langu likawa kwamba huyu atakuwa ni nurse, well, sikuwa mbali sana na ukweli! Congrats to her!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we naweeee,asante [emoji120][emoji120]
 
Hayo ni mawazo yako you're entitled to them and I beg to differ with you. Kama hawakereketwi na yanayoandikwa humu basi wasingetoa kauli fyongo ya kutaka mashetani washuke na kuifunga mitandao yote nchini na waheshimiwa sana wasingeona umuhimu wa kuingia humu na kusoma yanayoandikwa. Hunijui hata chembe alikudanganya nani ninapoandika huwa na jazba? Wacha kujifanya unanifahamu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…