Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anaogopa kusema mana hamchelewi kumwambia akafanye homuweki[emoji23][emoji23][emoji23]au atulie akikua atayakuta[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama walivyokuwa wanamwandama Uniq. Mpaka wanajitolea kumlipia tuisheni kumbe Mpare wa watu yuko vizuri anafuga ng'ombe wake na kuku kibao. Vu bin vuu akanikaribisha nikachukue mahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu Atulinde tuione kesho wapendwa. Ngoja niingie gym kidogo nipashe moto misuli. Laleni salama na Mungu Atulinde.
f4f4b4db2b86a0e4daeaa883f9b48c5c.jpg
Amen[emoji120]
 
Back
Top Bottom