Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu Atulinde tuione kesho wapendwa. Ngoja niingie gym kidogo nipashe moto misuli. Laleni salama na Mungu Atulinde.
f4f4b4db2b86a0e4daeaa883f9b48c5c.jpg
 
Hayo ni mawazo yako you're entitled to them and I beg to differ with you. Kama hawakereketwi na yanayoandikwa humu basi wasingetoa kauli fyongo ya kutaka mashetani washuke na kuifunga mitandao yote nchini na waheshimiwa sana wasingeona umuhimu wa kuingia humu na kusoma yanayoandikwa. Hunijui hata chembe alikudanganya nani ninapoandika huwa na jazba? Wacha kujifanya unanifahamu.
Sawa mkuu. Sorry kama nilikukwaza. Mungu Akubariki !!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila mimi tangu mwanzo nilisema historia ya mijibaba ya humu inayoimba gospo si nzuri,hatimae utabiri umetimia...huyu bob anaingia kundi moja na kina moudgulf,ho na KK wazee wa kuvamia mazizi ya watu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anavamia mazizi ya watu hapo nitoe haraka kabla sijakufumua
 
Back
Top Bottom