Yeremia 33:3Mdo 2:21
Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
Binti isisKumi na nne
hayo madini yataendelea kuja pale nafasi itapokua inapatikanaFresh aisee
nimependa madini hayo😵😵
Kalia tu mkuu bado sikai kwa sasa
Safi sanahayo madini yataendelea kuja pale nafasi itapokua inapatikana
Mkuu nitakuja na kiti kabisa wew kaa kwa uhuruSawa Mkuu ukirudi rasmi nistue tu nikupishe kwenye kiti chako cha Enzi.