Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kinachonifurahisha zaidi katika hili janga kubwa la mafuriko kule Houston ni kuona watu wanavyosaidiana kuokoana bila kujali rangi zao. Mweusi anamuokoa mweupe na mweupe anamuokoa mweusi. HUMANITY AT ITS BEST! Mungu mkubwa na ashukuriwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…