myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
pia huo ndio ukuta wa gereze(dunia), huwezi kuvuka hapo hivihivi'Kasayari ketu kazuri. Hako kalayer kadogo ka blue kanakong'ara ndiko kanatuwezesha tuweze kupumua na kuishi. Na Mungu akakawekea mlinzi imara (Earth's Magnetic field) ili kasikwanguliwe na nguvu za mnunurisho (radiation) kutoka kwenye jua. Maajabu ya uumbaji !!!
Vasco da gama
🙄🙄🙄Baba Viv. Ni wewe? Utani ukikuelemea sema mkuu. Nothing serious mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaMzee wa sadolin
Bwana Mungu au bwana mwingineBwana yupi
HahahahaBwana Mungu au bwana mwingine
La pulga
Chaguzi na mahakama za afrika ni shida tuAsante mkuu. Yaani kesi yote umeifuatilia kwa umakini sana. Yaani vivid kabisa mtu utafikiri upo kortini.
Hata hivyo mi naamini mwisho wa yote mahakama itatupilia mbali kesi hii na Kenyatta ndiye rais. Pengine ingekuwa siyo Afrika...