Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hii iwepo na bongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]7.Kuna mitindo 28 tu ya nywele iliyohalalishwa na serikali, 10 kwa ME na 18 kwa KE.Kama mtu anataka kusuka ama kunyoa atachagua kutoka hapo. Akikaidi yatakayompata asimlaumu mtu.
we! hao wanakamia sana timu kubwaHawa Bournemouth hawa sijawahi kuwasikia hawa. Lazima watakuwa vibonde probably. Au nao watatupiga?
Hatari sana hiiZtawageukia SASA
Mamvi au kumwembe
aliondoka mapema kama baba yakeBrandon lee
Maweee! Basi tumekwisha...we! hao wanakamia sana timu kubwa
Anapumzika mida hiyo wewe unataka awe online kila Siku familia tutatengeneza saa ngapi[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Siku hizi ISIS mida ya wanga simuoni