Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jinsi ya kusafisha maeneo mbalimbali ya nyumba



Mtu alisoma kichwa cha makala atadhani tu kuwa kusafisha nyumba mbona ni jambo linaloeleweka, lakini ukikaa chini ukafikiria unaweza kujiuliza ni wapi pa kuanzia? Na ni namna gani unasafisha eneo fulani la nyumba kwa mfano bafuni.
 
Kwanza kabisa amua ni kwa namna gani unataka nyumba yako iwe safi, una muda kiasi gani na ni kwa namna gani una mori wa kusafisha siku hiyo.
Kama itawezekana safisha kuanzia juu kushuka chini. Kwa mtu mwenye shughuli za “wastani” (asiyekuwa bize sana) inapendeza kufanya usafi wa nyumba kidogo kidogo kila siku, ili kazi isijilimbikize na kuwa na siku ya kufanya usafi mkubwa mara chache kwa mwezi. Katika makala hii nizungumzia huu usafi wa kidogokidogo wa kila siku.
 
Anapumzika mida hiyo wewe unataka awe online kila Siku familia tutatengeneza saa ngapi[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Familia haitengenezwi wakati mwingine wo wote isipokuwa mida ya wanga? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Kuamua ni chumba gani uanze kusafisha na ni kipi umalizie inapendeza kama utaanzia vyumba vya ndani ukielekea nje. Hii itakusaidia kutorudia kazi ile ile mara mbilimbili, kwa mfano unadeki sehemu halafu unapitia hapohapo tena kudeki ya mbele yake hasa pale inapokuwa ni mtu zaidi ya mmoja anasafisha. Andaa mpango wako wa kusafisha kwa kutizama ni sakafu ipi unadeki, unafagia ama unasafisha kwa mashine ya upepo.
 
Back
Top Bottom