carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nasingi isi apu...karibuAm gudi, whatzi apu withi yu?
Mkuu hivi huko ziwa victoria hali ya mamba ikoje hasa huko ukerewe?Na jinsi ya kutumia mamba
Yego ndo mida yake hiiNights watch imefika naona ndo mnaingia
YEGOMASIKA
HARUFU
ANDJUL
CantstopwontStop
Tumetawaliwa na upendo hadi tumepoteza marafiki.Si unajua marafiki wanafiki? Bora tubaki ndugu katika Bwana aliye haiNimeshapoa my ndugu
Furaha ilioje kuonekana kwako na sisi kukupa likes hapa kijijini
CantstopwontStop
Hivi wazee na dogo YEGOMASIKA mmepigiana simu niniKoloni lake hilo.
Na hata Lafudhi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Andaeitini in da house! [emoji3][emoji3]
Kashatokea[emoji23][emoji23][emoji23]huyu andaeitini sijui anasoma saangap kwakweli
Nights watch imefika naona ndo mnaingia
YEGOMASIKA
HARUFU
ANDJUL
CantstopwontStop
Namshukuru Mungu nipo na afya njemaMi buheri wa afya mkuu. Habari ya wewe?