Yani huu msimu unaweza shangaa tunahamia magari sabaHila season hii watasema sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji, mtu mwenyewe mwembamba tayari hii tena ya nini? Hii inawafaa vibonge iwasaidie kupunguza lavu hendoz na mapaja mrundikano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa hatupendagi ngebe za wanaojifanya wakubwa. Tunawasubiri man u nao tuwagongeKazi yenu ni kujisifu kupiga wakubwa tu halafu mnatulizwa na kina Watford[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Life is not fair
AiseeeHapo sasa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Habari ya sasa nzuri kabisa shemeji. Tumshukuru Mungu !!![emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ya wakti huu
Liverpool kumfunga Manchester united ni habariHuwa hatupendagi ngebe za wanaojifanya wakubwa. Tunawasubiri man u nao tuwagonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaniii khaa![emoji22][emoji22][emoji22]
Muda ukifika utapata kuwa mpoleTunaomba report ya kikao cha barrick
DJ sepetu
Kabisa mkuuWaandishi wachache wanaojua yeye ni mmoja wapo
CantstopwontStop
Kila ukiisha wanamwongezea yaani sijui kawapa nini gunners huyuMkuu, kitu rahisi zaidi kwenye mchezo wa soka ni kuvunja mkataba wa kocha. Kutokana na hilo, ndiyo maana kipengele hicho hupewa umuhimu wa kipekee na pande zote mbili wakati wa kuandaa mikataba ya makocha.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ipo pale Magogoni. Getini tu kwa walinzi wala hufiki ndani....
Aisee yule jamaa kaniacha hoi sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole love ila bora nikuchekeshe mwenyewe kuliko alie ji interview mwenyewe
CantstopwontStop
HahahahahaMpimage mioyo yenu kabla hamjafakamia milonge [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safi sana
Amekufa kiume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tulia basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakubwa mnafaidi hadi likes mlisahau
HahahahahaAsumani Mawenge laivu in da hausi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mbona nimeacha lakinTulia basi