Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti ni baada ya kupigwa marufuku mifuko ya plastiki huko Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Word...
Yani hii mikwara niliyopigwa,naona viv wangu atapashida katika maleziUmekuwa mpole ghafla,nahisi ushapigwa mkwara wa hatari ww sio bure.
Huyo alikosea njia alitakiwa kuishi Ukerewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Miaka kama 10 iliyopita nilienda kijiji furani mkoani morogoro ambacho kipo kando kando ya mto ruvu, wenyeji walinionyesha baba ambaye alisemekana kwenye koti lake ana mijusi ambayo akiitupa mtoni hugeuka mamba wakubwa na kuanza kushambulia watu ambao amewalenga[emoji2] ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaala weHuyo alikosea njia alitakiwa kuishi Ukerewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio vizuri hivyo we unampambanisha na wazee wenye nguvu za ziada akipata Busha je na we si utamkimbiaHahahah pole yake, kawaogopa hao wahenga