Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio tayari ashapata busha????
Bushaaaa??
siyo kwa jinsi nilivyojipanga huku ngende
hebu angalia watu kama watatu pamoja na mchina wa 4 wanapambana na mtu mmoja na bado wanadunda
-Petrol tank 5 zote za litre 3000 kila moja
-hapa naongea na korea ya kaskazini waniletee zile missile zao
-Kamanda cole ananiandalia AK-47,M240 Machine Gun,PK Machine Gun,QBZ-95 Assault Rifle.
-Halafu nimeshatoka ngende liwale
Tafadhali wambie hao jamaa wasijaribu kabisa kumchokoza baba viv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…