Jamaa yangu habari yakoWeeeee, nimesha pitia.Jana nilisema humu,moudgulf na yeye ni mpenda misambwanda, nimeona alivyokuwa anashangilia kila picha usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mambo tusilaumiane kabisa
Jirani yangu mi siyo mpenzi wa mizigo, yuko wapi jirani na rafiki yangu mpenzi nsamakaWeeeee, nimesha pitia.Jana nilisema humu,moudgulf na yeye ni mpenda misambwanda, nimeona alivyokuwa anashangilia kila picha usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mambo tusilaumiane kabisa
Ila hii picha imenihuzunisha sanaBob jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hii uliionaView attachment 578487
Huruka pamoja. hata hivyo mi siyo mpenzi wa makontena.Mkuu nashukuru kwa kwa kuniwakilisha vyema kwenye ushangiliaji wa misambwanda. Ndege wafananao...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
DahUsiondoke bhana nilikuwa nauliza tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DahTeh teh teh!
Ni jirani, sema tu wewe unapotoshwa carbamazepineSawa sawa,Dar na Shinyanga ni karibu sana hadi mmekuwa majirani
Hawa jamaa wapetuchapa na bado wanatuchulia mchezaji wetu,dah