Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Breaking:Madakatari kote nchini Kongo wameendeleza mgomo wao ambapo hivi sasa hakuna hata huduma ya dharura. Wauguzi pekee ndio wameonekana kwenye hospitali za umma ambazo hazipokei tena wagonjwa wapya. Hali hiyo imeasababisha vifo vya zaidi ya watu sita kwenye moja wapo ya hospitali mjini Kinshasa. Madakatari wameomba nyongeza za mishahara kufuatia kuporomoka kwa thamani ya faranga za Kongo ukilinganisha na dola za kimarekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…