[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ya Ngoswe mwachie Ngoswe mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe hangaika kumtafutia Viv mamake wa kambo malaika asiye na kasoro. Kama hivi vidole tu vya waifu vimekukinaisha namna hii (japo mi sichoki kuvinyonya na kuvimasaji), sijui huwa unajisikiaje ukiwaona dada zetu wa huko vijijini wakulima wenye masagamba na miguu iliyokakawana. You sound kind of shallow to me sir...(pun intended)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhhh!Sasa huyu Bob na mm ntamgeuka aiseee
Mchina wa kwanza kucheza NBAHako kajamaa kafupi kanaongea duh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]May your dream come true soon!