myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahahahaha unakwenda na kipindiNafarijika kukuona tena,vp chura alikunywa maji[emoji23][emoji23][emoji23]
Gudi moningi
Karibu tenaNapita tuu
Yangu macho (na masikio pia !!!) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemuahidi Viv jumapili anapata mama amefurahi sana[emoji4]
My princess niajeGood morning mzee wa liver
Bila shaka kilo 3 zimepungua na tayari uwezo wa kutenbMwenyewe naumwa jamani. Nilikuwa kwa Dr hapa kufanya follow up na mambo inaonekana siyo mabaya kama nilivyodhani. Sema tu daktari mwenyewe ni binti mbichiii halafu yale mambo ya mwenyekiti wa Tukuyu yale dah! Sijui mzungu dizaini hii wamemwokota wapi. Basi physical exam imeenda safi kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]. Hapa naenda kununua dawa famasi yaani full magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]