Mzee wa liver amesema ameniweka kiporo,nitakoma na kiherehere changu, asiniteke tu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kanivunja maini kwakweli..
Ila isijekuwa kawekewa vikwazo[emoji23][emoji23][emoji23]ndo mana anajikosha kwa kauli hizo
Someni kwa furaha
HahahahahaHahahaha mzee wa busha, yaan nacheka huko mpk nalia.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huko usipuze jua la magharibi wala jiwe lililopo barabarani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inawezekana et[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We subiri tuone hicho kikosi ngoja ujaze wapenda mafuso
Muhudumu ongeza glasijamani nsamaka
nilikua nataka nikupe ofa lakini naona kama naahirisha vile
Njema kabisa mkuuWaraibu wa likes. Alhamisi hii inaendeleaje? Tumshukuru Mungu !!!
Naomba nihakikishie kwanza kama utakua unamtibu viv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi utakapo mfikishia hizo salamu utamwambia ni nani anamsalimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Aaah Bob jamani usinifanyie hivyo manake mm ndio nakutetea sana humu. Wengine wote wanakushambulia.
Akikuteka naandamana[emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa liver amesema ameniweka kiporo,nitakoma na kiherehere changu, asiniteke tu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kamanda Bob12 viph sikuelewi kabisa,Dah[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nshapata wa kumtibu viv