carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Cole na mzee wa tukuyuKwani ukiwa mama viv.utapungukiwa na nn?
Hahaha wahenga hawataki shida etHahahha hadi wakafikishana kwenye mkwara wa busha
Guys see you later , acha nijiandae kukamata zamu tena. Nikipata time ntakuwa nakuja kulisongesha hili gurudumu.
Good morning my dearHabari za asbh Mara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yangu macho (na masikio pia !!!) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmhhh kumbeAkuuu, mie namsaidia tu kumtafutia. Ningekuwa naitaka hii chance ningeshaichukua maana mwanzo kbs iliniangukia mm.
Cc:andjul
MuoneOooh pole, nimejikwaa tu.
Good morning mzee wa liverGood morning TANZANIA
Acha kunitesa basi[emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzako keshapata ajira
Wewe ringa ringa tu[emoji41]
Siku hazigandiMwezi unakata Leo..bado theluthi moja mwaka nao