mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
YapCarb Eid ni kuwa na afya..mengine yataenda
Point likes kwanzaDuuh!ila si ujinga ujue..ufahari ya kutibu familia zenu upo sana tu ila kumbuka na wao wanafamilia zao na wanatakiwa wapewe stahiki zao,kumbuka madaktari hawafanyi kazi zile 8hrs za kawaida wanaingia call na kufanya kazi muda wa ziada na hawapumziki,kuna baadhi ya settings wanafanya kazi na huu ni mwaka wa 2 unaemda wa3 hawajapewa posho ya oncall na mshahara wwnyewe ovyo kabisa...hizo nchi ambazo si afrika wanawathamini na kuwajali ila afrika ni shida
[emoji23][emoji23][emoji23]hata sijui nimeongea nini uuuwiiii pata like jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiojiwa na Christian amapourUnajua hii topic hii.
Acha nikanywe maji halafu nije tufanye CNN hard talk
Umeongea kwa hisia kweli kweli, kawaida ya binadamu wabinafsi hujitazama wao zaidi bila kujali wengine. Migomo hiyo ina athari kwa wananchi wasio na hatia. Madaktari watafute namna nyingine ya kupeleka madai tayo na si migomo.Duuh!ila si ujinga ujue..ufahari ya kutibu familia zenu upo sana tu ila kumbuka na wao wanafamilia zao na wanatakiwa wapewe stahiki zao,kumbuka madaktari hawafanyi kazi zile 8hrs za kawaida wanaingia call na kufanya kazi muda wa ziada na hawapumziki,kuna baadhi ya settings wanafanya kazi na huu ni mwaka wa 2 unaemda wa3 hawajapewa posho ya oncall na mshahara wwnyewe ovyo kabisa...hizo nchi ambazo si afrika wanawathamini na kuwajali ila afrika ni shida
[emoji23][emoji23][emoji23]hata sijui nimeongea nini uuuwiiii pata like jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu uko karibu sikukuu
Habari za uzima wakoHahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji41] [emoji41]AKILI NI BORA KULIKO MISAMBWANDA
CantstopwontStop
Nimeomba listi sijapewa mpka sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu nitajie members wa team carba kwanza niwajue
Kichwa kichafu, andjul, ho chi Minh +..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu nitajie members wa team carba kwanza niwajue
Amechaji simu hahahaUmeme umerudi eeh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Anayemendea vya wenzake akae akijua na vyake vinamendewa[emoji41] [emoji41]