Mwandishi nae mfatiliaji amejuaje kwamba dewji akomentiMimi sijawahi kumuona Dewji ana comment kwenye page ya east Africa TV kuchangia Mada zisizohusiana na biashara zake. Unajua matajiri wako bize kufatilia yanayo wafanya kutajirika zaidi wewe Je?? Masikini unafatilia mambo ya kimasikini siyataji unayajua…….
Njooni temeke mikoroshini rule IDDI. uswahilini huku. Ukija pande hizi na vito na madini mengine yavue utavalia home, usichezee simu hata kama Nokia tochi, usivae mavazi ya gharama maana unaweza kuvuliwa na kubakishwa na kufuli. KARIBUNI WAPENDWA. "Nyumbani ni nyumbani ingawa ni kichakani"Location puliziii
HahahaMwandishi nae mfatiliaji amejuaje kwamba dewji akomenti
CantstopwontStop