Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwandishi nae mfatiliaji amejuaje kwamba dewji akomenti

CantstopwontStop
 
Location puliziii
Njooni temeke mikoroshini rule IDDI. uswahilini huku. Ukija pande hizi na vito na madini mengine yavue utavalia home, usichezee simu hata kama Nokia tochi, usivae mavazi ya gharama maana unaweza kuvuliwa na kubakishwa na kufuli. KARIBUNI WAPENDWA. "Nyumbani ni nyumbani ingawa ni kichakani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…