Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana jirani, Mnyaazi Mungu akijalia tutakaribia; Insha Allah! Sasa mwenza hata wa kusingiziwa humu sina, nitazuka kigumu bhana. Ila umenikumbusha mbali sana, mitaa yetu hiyo. Ni kona ipi hapo katikati ya jiji tusoijua? Utoto ilikuwa raha sana!
Kumbuka zama zile tukifika kisutu karibu na soko mjinga na Gerezani, pale kidogongo chekundu mtaa wa kiungani tukiwafuata wale wamama na wa Dada wa kabila lileeeee kwenda kujipooza[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Mchina

CantstopwontStop
 
Kila mtu ni mbaguzi kwa kiwango chake. Kwa mfano, wewe hapo hupendi kuchanganyika na watu wa aina gani? Huo siyo ubaguzi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuuuu! siku hizi bwana yuleee naye, anachukua watu wa kwake wamsaidie kubeba lumbesa za wabongo. Sijui kama huo nao ni ubaguzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahaaaa...Taratibu aisee! Huwezi amini siku hizi pale Kisutu soko mjinga panaonekana kama Independence a.k.a Samora Avenue! Kwanza ulikuwa huwezi katiza usiku mitaa hiyo, kulikuwa na vibaka hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…