mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha
Ila tukiacha jokes za humuSingo faza....
Inawezekana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya yalikuwa mapepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida jecha alitumia mamlaka yapi ya katiba kuvuta uchaguzi ule*Kweli nimeamini Nabii hakubaliki kwao, haya Mambo ya kufuta uchaguzi alivyoyafanya JECHA hakuna mtu aliyemsifu, sasa Kenya wamefuta uchaguzi, kila mtu Povu linamtoka Eti Kenya wameendelea kidemokrasia, wakati wamekopi mambo ya Jecha*
*Kweli nimeamini Nabii hakubaliki kwao, haya Mambo ya kufuta uchaguzi alivyoyafanya JECHA hakuna mtu aliyemsifu, sasa Kenya wamefuta uchaguzi, kila mtu Povu linamtoka Eti Kenya wameendelea kidemokrasia, wakati wamekopi mambo ya Jecha*
Aisee
CarbaNani yuko macho saahii