Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji126] [emoji126] [emoji126]
It was pretty cool, but nakujashtuka kumbe gazeti tu na ganja nilizokula, meza pia nayo ilikuwa imaginary, bangi mbaya but siachi till nipate someone wa kuni advice me kuacha but politically[emoji615] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Litazungumzwa hili na lile ilimradi tu kumbomoa mhusika. Hivi karibuni niliamua kufanya kautafiti kadogo pale ilipo biashara yangu kwa kuwauliza baadhi ya wateja wangu na wapita njia wengine. Nilizungumza na baadhi ya wanawake pamoja na wanaume kadhaa kuhusu hili suala la kusengenya. Dada mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sharifa, alithibitisha kuwa ni kweli sisi wanawake tunaongoza kwa kusengenya, lakini alitetea kuwa kuna tofauti ya kusengenya na kumzungumzia mtu au watu kwa mazuri na mafanikio yao.
Dokta Numbisa; mi nawashwa na maini, je nifanye nini??[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom