It was pretty cool, but nakujashtuka kumbe gazeti tu na ganja nilizokula, meza pia nayo ilikuwa imaginary, bangi mbaya but siachi till nipate someone wa kuni advice me kuacha but politically[emoji615] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377][emoji126] [emoji126] [emoji126]
Mwambie numbisa aweke hiyo link bhasi humuNimepita kule, amerukiwa vibaya mno
Indeed
Nipo Iringa,nashuka Mby mara moja,next week nitakuwa nimerudiKwema kabisa mkuu pande za wapi
Tupo mamaa karibu sana
17Kumi na saba
Ukizimika sasa utafaidi vipi[emoji41] [emoji41] [emoji41]Basi nakuzimikia[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dokta Numbisa; mi nawashwa na maini, je nifanye nini??[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Litazungumzwa hili na lile ilimradi tu kumbomoa mhusika. Hivi karibuni niliamua kufanya kautafiti kadogo pale ilipo biashara yangu kwa kuwauliza baadhi ya wateja wangu na wapita njia wengine. Nilizungumza na baadhi ya wanawake pamoja na wanaume kadhaa kuhusu hili suala la kusengenya. Dada mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sharifa, alithibitisha kuwa ni kweli sisi wanawake tunaongoza kwa kusengenya, lakini alitetea kuwa kuna tofauti ya kusengenya na kumzungumzia mtu au watu kwa mazuri na mafanikio yao.