Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umetafutwa sana bageshi mpaka wamesema eti umetokomea na mafaili ya intavyuu kwa lengo la kujipa umama Viv wewe mwenyewe. Ilibidi mpaka Andjul aje kupambana. Afadhali umerudi. Weka mambo sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie sina sifa moja ya chura na yy alisema chura ndio kigezo kikuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…