Demokrasia Afrika (na popote pale duniani japo kwa viwango tofauti tofauti) ni pasua kichwa. Ni kinyume na hulka yetu ya binadamu ya kumiliki madaraka, kujipendelea, kutopingwa na kutaka kusifiwa na kuwa appreciated (Ndiyo maana tuko hapa macho mekunduuu tunasaka likes. Why? Justification. Sense of appreciation.)
Halafu unasikia mtu mishipa ya shingo imemtoka: Saudi Arabia hakuna demokrasia. Wanawake wananyanyaswa. Hakuna uchaguzi huru. Kama wenyewe wana amani na furaha, na ndivyo walivyoamua kuishi maisha yao, hiyo nayo si ndiyo demokrasia yao? Demokrasia ni nini?