andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hahahaaaaa...Kama ni kawimbo, sasa ndiyo upo kwenye korasi. 20s ndiyo maximum ya testosterone. From there ni downhill mteja wa milonge. Wakati ndo huu wa kupambana wakati hata moyo uko salama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Jiunge please ....
![]()
Nimependa mbinu ya ushawishi wako