Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi nsamaka wakati tunaingia mkataba ulisoma vizuri kipengele #6a kwamba endapo utashindwa kumpata mama viv wewe ndo utahusika??[emoji41] bila kujalisha mazingira
Hapo sasa. Ni muhimu sana kusoma mikataba vizuri. Ndo maana tunapigwa hata kwenye makinikia. Fine prints muhimu sana.

Mkuu, ng'ombe wa mahari wapo?
 
Kwani hakuona ile nguo kama ni fupi??vitu vingine ni kisudi tu..
Mtu mzima mwenye akili zake timamu hawezi toka nyumbani kavaa vile ila sijui ndo fashion au mimi ni old school,ila ni kujidhalilisha tu[emoji57][emoji57]
Shemeji naomba huu ubuyu ASAP. Nielekeze njia please [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila la heri nsamaka. Sasa ingekuwa vizuri ukaweka vigezo vyake avitakavyo. Size ya chura, kama ni macho ya kurembuka au ya askari, mnene au mwembamba, maji ya kunde, maji ya maharage au rangi ya chungwa, elimu yake, na dini pia au hata itikadi ili warembo wachakarike kutuma CV zao 🙂🙂

Aaah jamani ni maamuzi tu ya mtu, kila mtu anatafuta kwa namna yake.
 
Back
Top Bottom