Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaaaaa...
Nimependa mbinu ya ushawishi wako
 
Ndio alikua na gaun nyeupe daah nilihisi kinyaa kweli ina maana alijisahau akainama vile au makusud jaman
Kwani hakuona ile nguo kama ni fupi??vitu vingine ni kisudi tu..
Mtu mzima mwenye akili zake timamu hawezi toka nyumbani kavaa vile ila sijui ndo fashion au mimi ni old school,ila ni kujidhalilisha tu[emoji57][emoji57]
 
Hahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…