Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tayari. Nshadownload picha na video za page nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cc:SYB nenda kwa coffe-table utaupata
Tayari. Nshadownload picha na video za page nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cc:SYB nenda kwa coffe-table utaupata
Hata mimi pia niliwamiss wote aisee....Mkuu umerudi kwa kasi
Safi sana we real miss u
Sis nawe umo eeeeh!Nauliza nini
Tangu ni mwoe mimi sijaishi kwa furaha
Mambo gani kwa mtoto wenu
Nimechoka mukwe kila siku ambulance mlangoni
Kama ni nguo mukwe umeniuzia
Matirio sekandi handi
Zilipendwa haswa
Hahahaha
Dada jaman nisamehe tuu maana haya majukumu yatanizidi sasa! I am happy to see yo here full kusambaza mapendo.Barikiwa my dada.Ama kweli long time brother
Nime kumbukia hizo nyimboSis nawe umo eeeeh!
Sijakuona ukifunguka namna hii
Safi sana....