Nililipenda tu[emoji137] ulifikiria nini kujiita hilo jina??
Asante. Nina kaprogramu hapa nikiweka tu jina la page two minutes hata kama ni picha na video 10000 tayari zinakuwa downloaded full quality. Ngoja niwashe laptop. Mrejesho utakuja.Cc:SYB nenda kwa coffe-table utaupata
Wapi kipepeMara nyingi Bettina alishinda"""wapii harakatiii za pimbi
HahahahahaSYB "the founder"😀😀😀
Founder and CEOSYB "the founder"😀😀😀
Nadhani inategemea na muda. Goli la dakika moja 8km zitoke wapi? Labda kama ni hatua 8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio 8km??
MtongozoMy love niaje
Hapana. Huyu siyo Kabassele ya Mpanya. Huyu anaonekana kama bkack American...Pepe kalle
RAAMUN RA
PM yako ingekuwa open ningekurushia sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila akiandika herufi za mwanzo itaonekana
Halafu ule ubuyu wa sachoka sijauona ujue