Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
S365
HahahahahaMtongozo
Uko poa lakiniMtongozo
Shepu ya kibantu,hatari sana[emoji23][emoji23]Kitu orijinali....kweli ukiumbiwa macho na kichwa kiwe na uwezo wa kuchungulia,ni hatari hapa duniani
Na kweli maana....Siku za mwisho hizi
HahahahahaHapana. Huyu siyo Kabassele ya Mpanya. Huyu anaonekana kama bkack American...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Cho chote tu. Site yo yote. Kuna viprogramu rafiki vinakushushia kila kitu. Nani ana muda tena wa kudonoa kapicha kamoja kamoja?Sikuwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh ok
Napenda ubuyu lol[emoji38][emoji38]Halafu wewe mdukuzi
Bro niajeUuuwii...wadau mpooogooh??
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nauliza nini
Tangu ni mwoe mimi sijaishi kwa furaha
Mambo gani kwa mtoto wenu
Nimechoka mukwe kila siku ambulance mlangoni
Kama ni nguo mukwe umeniuzia
Matirio sekandi handi
Zilipendwa haswa
Hahahaha
Lete ubuyuTayari. Nshadownload picha na video za page nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katibu yuko vizuri sanaAmu araundi mkuu,pale katibu anapoonyesha uwezo wa kushawishi hadhira kujiunga na chama la wana....