mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Lakini naona huyu mbarazili alikuwa ana hamu sana ya kuondoka liver lakini klop aligoma kabisa kumuachiaPamoja.
Hatimaye Coutinho ameamua kubaki, hajababaika.
Coutinho, Sanchez, na Ozil, nilitegemea mmoja wao au wawili wangeondoka hapo Anfield.
Lakini ni tofauti na nilivyotegemea.
Hongera Kiongozi
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji173][emoji173][emoji173]Naiona strength yako.
CantstopwontStop
Safi sana Kiongozi.Habari za Jumapili Mkuu
Yawezekana watu wakawa wanalala kwa sababu wamekariri?Jana nilichoka kweli nikaenda pumzika ila nilirudi ndo nikaona nawe ulikuwepo nikakaa kidogo nikasepa
[emoji23][emoji23][emoji23]inawezekana sijuiYawezekana watu wakawa wanalala kwa sababu wamekariri?
CantstopwontStop
Yeah kupunguza uchovu tuZinatosha hizo
CantstopwontStop
Klopp ni Mwalimu Mzuri sana.Lakini naona huyu mbarazili alikuwa ana hamu sana ya kuondoka liver lakini klop aligoma kabisa kumuachia
Pamoja mkuuLikes nikiamka. Muwe na Jumapili njema na Mungu Awabariki sana. [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Yego kutikiPoa kabisa, kumekucha!
Safi Mkuu