Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mikate ya vitungu Unga wangano nusu Vitunguu 2 Hamira kijiko kimoja cha Chao Chumvi unakisia Maziwa ya unga vijiko2 Nazi moja Baking poda kijiko cha chai kimoja samli kijiko cha chai kimoja Namna ya kupika Kata vitunguu vyako vyembamba ukisha mimina unga kwenye bakuli uvitie vitunguu vifikiche na unga mpaka vilainike halafu. tia baking chumvi samli na maziwa changanya vizuri ikisha changanyika tia hamira endelea kuchanganya sasa chukua tui lako la nazi anza kuukanda unga mpaka uwe kama. Wa chapati ikisha ugawe madonge 4kwahicho kipimo sukuma upake samli kama chapati urol ukisha sukuma uweke uumuke uchome ukichoma tia mafuta kwanza katika pan kama vijiko vya chakula 2 halafu choma chini ukiiva ugeuze upande wa pili utafanyahivo mpaka umalize mikate yako yote
 
VISHETI VIPIMO: Unga wa ngano kilo 1 Yai 1 Kastad vijiko viwili vya kulia Siagi/samli robo Maziwa ya maji /juice ya chungwa glass 1 na nusu Sukari nusu Bp kiac JINSI KUTAYARISHA Changanya unga na siagi mpk vchngnyike pmj na yai, Tia kastad powder na bp changnya Tia maziwa au juis ya chungwa changanya mpk uwe kitu kimoja Unauponda kidogo tu ucwe mlaini sn au tepetepe Than unafny km vishet vya kawaida ila unakata vdonge kw mkono tu Than unachkuwa kidonge kimoj kmj unapitisha juu ya chujio la tambi Unafny hivo mpk unamaliza kisha unachoma km kawaida ya vihet vyengine kwny karai Unatia shira tayari kwakula
 
Pilau ya nyama Mchele Nyama Tangawizi Mdalasini Uzile Maggi cube Chumvi Ndimu Vitunguu Mbatata Thom Chukua nyama ioshe vizuri tia tangawizi kitunguu thom ndimu na pilipili manga ichemshe mpaka iwe tayari Roweka mchele Kaanga viazi mbatata mpaka vibadilike rangi kisha vitoe weka pembeni Kaanga vitunguu vikishakuwa vyekundu tia mdalasini na uzile uzile unaukaanga kidogo pembeni upate harufu nzuri halfu tia maji kiasi na maggi cube wacha ichemke tia mchele na mbatata ukisha kauka tia nyama uache mpaka uive tayari kwa kula Nb...nyama ichemshe vizuri icive sana
 
Kashata za nazi Mahitaji Nazi zilizokunwa 5 Sukari vikombe 6 Maziwa ya unga kikombe 1 Unga wa cocoa kijiko 1 na nusu Rangi ya pink kijiko 1 cha chai Harufu ya strawberry kjk 1 cha chai Jinsi ya kupika Tia sukari ktk sufuria zito na maji kikombe 1 na nusu chemsha mpaka sukari iyeyuke tia nazi song bila kuacha mpaka maji yote yakauke na ianze kushikana punguza moto kisha tia maziwa endelea kusonga mpaka uone I naanza kushikana kama donge epua haraka gawa sehemu 3 moja weka cocoa nyingine weka rangi ya pink na harufu ya strawberry nyingine Acha nyeupe haraka pakaa mafuta mezani kisha tandaza mchangayiko wa cocoa ukishatandaza haraka chukua msukuma wa chapati upakae mafuta kisha sukuma hlf juu ya mchanganyiko wa cocoa tandaza mchanganyiko wa pink kisha sukuma na juu ya mchanganyiko wa pink tandaza mchanganyiko uliobaki kisha sukuma pembeni parudishie vizuri na mkono Acha ipoe kias kisha kata vipande saiz uipendayo Acha ipoe kabisa
 
MKATE WA UFUTA MAHIJAJI UNGA NAZI MAZIWA CHUMVI KHAMIRA MAYAI 2 MATAYARISHO CHANGANYA VITU VYOTE PIGA KWA MKONO MPAKA UCHANGANYIKE VIZURI UWE MZITO KULIKO WA KAIMATI UKIUMUKA TANDAZA KTK FRYING PAN NYUNYIZA UFUTA CHOMA KWA OVEN MOTO WA CHINI HALAF WASHA MOTO WA JUU SUBIRI UIVE TOA NA TAYARI KWA KULIWA NB UNAWEZA KUCHOMA KW MKAA,WEKA MOTO KIDOGO CHINI ,NA MOTO WA JUU UZIDI KIDOGO - 1
 
MAKORONYA YA MAINI MAINI NUSU KILO MAKORONYA MFUKO 1 PILI PILI BOGA (melikata jembamba na refu) CARROT(mekata nyembamba na refu) MATANGO (mekata nyembamba na refu) MVUJE MAJANI TUNGULE (nimezisaga pamoja na pilipili boga kidogo na carrot) KITUNGUU MAJI KITUNGUU THOMU TANGAWIZI UZILE WA UNGA TOMATO PASTE CHUMVI MAFUTA YA KUPIKIA NAMNA YA KUPIKA chukua maini yakate membamba kama snake chips..yatie viungo...(vitunguu thomu..tangawizi..na uzile..nimetia pia na mvuje majani mawili matatu..) Weka jikoni yaache yachemke yawive..yabakishe na supu nzito nzito. Weka maji jikoni kwenye sufuria..maji kiasi. Yafunike yapate kuchemka upesi. Yakichemka weka makoronya yako yakiwa laini yaepue yachuje...kama unavyochuja tambi. Weka sufuria kavu jikoni...weka mafuta yako kiasi yakipata moto..weka kitunguu maji..kikiwivia brown.. Weka mvuje na matango Baadae weka carrot na pilipili boga Baadae vikiwiva weka mchanganyiko wa tungule baadae weka tomato paste Vikiwiva weka supu yako na maini Iwache ichemke..onja chumvi iwe kiasi Than ikiwiva weka makaroni yako than koroga. Baada ya muda epua..usiyaache yakakauka..yaache na maji maji kidogo. iwache iburudike.. Tayari kwa kuliwa -
 
ROUND DONUTS MAHITAJI 1. UNGA WAGANO MUGI 2 NA NUSU 2. SIAGI VIJIKO 2 KULA 3. CUSTARD KIJIKO 1 KULA 4. ARKI KIJIKO 1 CHAI 5. HAMIRA VIJIKO 1 KULA 6. CHUMVI ROBO KIJIKO CHAI 7. YAYI 1 8. SUKARI NUSU MUGI 9. MAZIWA YA MAJI MUGI 1 JINSI YAKUTAYARISHA 1. KWENYE SUFURIA TIA SIAGI IYAYUSHE KISHA TOWA KWANYE JIKO TIA MAZIWA , ARKI , SUKARI KIJIKO 2 KULA , YAYI , HAMIRA NA CHUMVI KOROGA KWA MCHAPO KISHA WACHA KWA DAKIKA 2. 2. KWENYE HUO MCHANGAYIKO TIA UNGA WAGANO NA CUSTARD KOROGA KWA MWIKO HALAFU NAMKONO FUNIKA WACHA UMUKE. 3. UKISHA UMUKA UKANDE TENA KISHA UFUNIKE TENA KAMA DAKIKA 10. 4. FUNUWA UKANDE TENA FANYA VIDONGE VIDOGO VYA SAIZI KAMA HAPO KWENYE PICTURE SOKOTA KWA UREFU NA KUNJA MARA MBILI NA KISHA ZI TWIST ZOTE WACHA TENA ZI UMUKE KIDOGO. 5. TAYARISHA MAFUTA NA ZI CHOMA WACHA ZIPOWE KIDOGO HALAFU ZITIE KWENYE SUKARI ZI PEPETE ZIKOLE SUKARI KISHA TAYARI KULIWA KWA KAHAWA AMA UNACHO PENDA
 
MKATE WA MAYAI RECIPES Mayai manne Sukari kikombe lakini hakijajaa Hiliki kijiko cha Chai 1 Unga kikombe kimoja NJIA saga Sukari na mayai na hiliki mpaka uvimbe tia unga kisha saga kama 10 min mimina ktk tray Tia zabibu juu choma -
 
Cake Machungwa 2 yapare lile ganda lake. Kisha kamua upate maji yake chungwa kikombe 1. Sukari vikombe 2 isage iwe unga. Mayai 4 Cocoa robo kikombe Mafuta nusu kikombe Unga vikombe 2 Baking powder vijiko 2 Ark Chumvi kiduchu Namna ya kupika Piga mayai kwa mashine mpaka yavimbe tia ark na mafuta saga pamoja kisha weka ile juice ya chungwa na yale maganda uloyapara saga pamoja kisha weka unga na ile sukari ulosaga changanya vizuri kisha tia chumvi kiduchu tuu ukisha changanyika vizuri. punguze ktk kibakuli mchanganyiko wako chota km vijiko 8 vikubwa vya chakula ktk hicho kibakuli kisha tia cocoa changanya vizuri. Paka tray mafuta au siagi vizuri kisha mimina huo mchanganyiko wako ulokua hauna cocoa mimina wote ktk tray kisha tia huo wenye cocoa tia kwa kijiko hii kijiko 1 baada ya kimoja sehemu tofauti juu ya hiyo mchanganyiko wako wa plain ukisha maliza chukua kisu fanya kuikoroga km unachora no 8 vile lkn sio mpaka chini ni juujuu tuu. Ukimaliza ichome cake km kawaida.
 
Half cake:- 5 unga (self raising flour) 1 sukari kikombe Nusu kikombe mafuta Hiliki 2 vijoko vikubwa rob 1 kijiko kikubwa vinegar 4 mayai 1/2 maji 2 vijiko vikubwa maziwa ya unga 2 vijiko vikubwa nazi ya powder Kanda half paka mafuta ufunike kidogo tayarisha mafuta ya kuchome kata madonge sukuma kidogo tu kata na kuchoma... Usitie mwngi mengi wakati unachoma sbb yanavimba.
 
MIKWALA YA MFUGA MAMBA. Bw Manyoya alikuwa anajikubali na kuikubali taaluma yake, wenyeji wanasema mzee huyo alikuwa ni mwenye vitisho, mathalani katika pitapita zake ukikutana naye wakati unaendesha pikipiki au baiskeli na ukasimama kumsalimia, cha kwanza lazima atasema kwa ukali "Nipeleke". na hiyo yaweza kuwa safari ya kilomita 8 mpaka 10. kwa uoga vijana walikuwa wakitekeleza amri hiyo bila masharti. mashuhuda wanasema pia ikitokea upo mgahawani na ukamkaribisha chakula au kinywaji, atasimama. lakini kitakachofuata ni kauli "nipe hiyo hela nitakula mbele ya safari" wanasema mfuga mamba siku zote akiwa kwenye safari zake alikuwa akivalia koti, na inasemwa ndani ya hilo koti alikuwa na bundi mdogo na chembe zile za miti ya mamba. wenyeji wanasema pindi ukutanapo naye kwenye njia nyembamba anakulazimisha upite upande furani, kushoto au kuume kwake kwa kukupa ishara ya kidole na kauli ya vitisho "pita huku". wenyeji wa eneo hilo ambao kwa sifa ni wakarimu, wanasema, bwana huyu amechafua sifa nzuri ya eneo lao. wanasema eneo lao limefikia kutambulika kuwa kijiji cha wachawi kwa upuuzi wa mtu mmoja tu. wanasema wakiwa safarini kwenye vijiji vingine wilayani humo na wilaya jirani za bagamoyo, kibaha na kisarewe na wakajitambulisha kuwa wanatoka eneo hilo, wamekuwa wakipewa ushirikiano wa mashaka. na wengine hufikia kuuliza juu ya mamba wa mzee huyo. ITAENDELEA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…