Ni sawa na jf bila Uzi huuWeekend bila EPL ni sawa na dira bila chura
Hujarogwa, umependa mwenyeweEmbu lete tuone, ila mimi Nampenda tu mwenyewe, kwan kwenye haya mambo Kuna kurogana kweli?
CantstopwontStop
Duu unaua nsamakaSubiri badae nakuja na majina ndipo utakapojua kuwa unaishi na nyoka.
IndeedHahahahha jamani
I'm fineHow are you?
Hahahahaha
Wapo
Ngoja time ya kuwaweka wazi waombaji ifike
HahahhaSangamwalugesha, sangabuye, mwakilyambiti, mwamakoye,malampka,ngudu,nindo, busanda, kakola.
Yakikufika usije kulia lia hapaKumpenda carbamazepine siachani hata mseme nini, nitampenda kila siku kila wakati
CantstopwontStop
Hahahahaha likes tu
Swali gumu, akikujibu nijurisheKwa mfano ikiwa kweli wewe, utanishauri nini.
CantstopwontStop
Mzee wa kujipa matumaini,ngoja carba aje aendeHahahahaha
Safi sanaKubwa sana, tena sana. Na kote huko watu hawana shida ya kujua kabila lako. Ni mwendo wa upendo tu. Tanzania tamu sana
Sent using Jamii Forums mobile app