Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jose Mourinho ameonyesha umahiri wake wa kuwa kipa baada ya kushiriki mechi ya kuchangisha fedha kuwasaidia watu walioathiriwa na moto wa jengo la Grenfell.
Meneja huyo wa Manchester United alicheza kama kipa katika mechi hiyo Game4Grenfell kati ya timu mbili za watu mashuhuri na wacheza soka wa zamani.
 
Kikosi chake kilishindwa kwa mabao 5-3 kwa njia ya penalti, ambapo bingwa wa olimpiki Sir Mo Farah alifunga bao.
Takriban watu 80 walifariki wakati jengo la Grenfell lilishika moto magharibi mwa London tarehe 14 mwezi Juni.
 
Yaani wanafanana kwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuchorwa miaka mingi akiwa na kofia kichwani, siku moja alikamatwa kwenye harakati zake za wizi, alikalishwa chini na kuvuliwa kofia. Loh!! Kumbe ana kipara, jarida la toleo lile liliuzwa sana kisa ni ndumila kuwili hakuwahi kukamatwa kwenye wizi, pia hakuwahi kuvua kofia hata akiwa uwanjani
 
Watu mashuhuri walishiriki mechi hiyo wakiwemo mcheza filamu Damian Lewis na Olly Murs.
Fedha kutoka kwa tikiti za mechi hiyo zilienda kwa mfuko wa wale walioathiriwa na janga la moto.
Wakati wa mapumziko waimbaji Rita Ora, Emeli Sande na Marcus Mumford walitumbuiza umati kwa nyimbo zao.
 
Sio kila mara unasikia kuhusu kisiwa cha Guam ambacho ndio kikubwa zaidi katika bahari ya Pacific na kinamilikiwa na Marekani.
Kimekuwa katika habari kwa sababu Korea Kaskazini imetishia kushambulia kambi yake ya kijeshi ikiwa ni miongoni mwa mgogoro na Marekani.
Inajiri baada ya rais Donald Trump kusema kuwa taifa hilo linafaa kutarajia vita vikali kutoka kwa Marekani.
 
Back
Top Bottom