Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
S904
UniverseIla sehemu nyingine ndo linawatokea [emoji6] [emoji6] [emoji6]
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Piga kazi
Tukuyu hiyo shemeji. Napajua hapo mahali !!!Mbeya hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au mwanza [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na kwako mkuu habari za masiku
Hii kitu usipeeeeme
Yap
Tatizo letu Wabongo hata hatujui tunachotaka.
Kazi yetu kulalamika tu....
Pamoja
HahahaMaisha yenyewe magumu ngoja nipumzikie like
the great
Kwani wewe hufanyi[emoji41]
KabisaMkuu siku chache hizi umekuwa mtu wa kuchungulia na kuongoka tu, unajua tunaanza kukusahau!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Intavyuu imefikia wapi? Wengine huku matumbo joto jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilimshauri aachane na Carba. Halafu nafasi itatangazwa upya.
Hata rais analalamikaYani tumekuwa walalamishi vibaya mno. Daaa hadi inachosha. mtu kwa uvivu wake akikosa mlo wa mchana analalamika, mbunge analalmika, waziri alalamika. Kila mmoja ni malalmiko tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app