Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

north-korea2.jpg
 
Atomic bombs only use nuclear fission, splitting the nucleus of an atom, splitting plutonium and/or uranium into smaller atoms in a chain reaction which releases massive amounts of energy.

The bombs dropped by the US on Hiroshima and Nagasaki during WWII were both atomic bombs.


A hydrogen bomb, also called a thermonuclear bomb or an H-bomb, uses a second stage of reactions to magnify the force of an atomic explosion.
 
Ukweli ni kuwa wengi wetu tunapenda simu zetu, pengine hii ni sababu ya simu hizi kutupa uwezo wa kufanya mambo kwa urahisi na haraka sana lakini kila jambo likizidi basi kwa namna moja ama nyingine lina weza kuwa sumu kwenye maisha yetu ya kila siku. Hivyo basi kaa tayari kujua kama wewe una tatizo au (ugonjwa) wa kupanda simu kupita kiasi.
 
Kwanza napenda niseme kuwa kupenda simu yako kupita kiasi ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine ya tabia ya kupenda vitu kupita kiasi yaani (addiction), magonjwa haya hu-tibiwa kwa kupewa mazoezi ya kila siku ya ubongo ili kuweza kuacha tabia hizi
 
Kwa mujibu wa tovuti ya addiction tips kama huto tibu ugonjwa wa kupenda simu kupita kiasi unaweza kupata matatizo mbalimbali ya afya kama vile, matatizo ya ubongo pamoja na kansa hivyo ni vyema kuanza kuacha tabia hii kama utajigundua unazo dalili zifuatazo.
 
Unashika Simu Yako Mkononi Muda Mwingi
Mara nyingi watu wenye tatizo la kupenda simu kupita kiasi hawawezi kukaa mbali na simu zao, mara nyingi hushika simu zao mkononi au kuziweka karibu nao au wakati mwingine utawakuta wanatumia programu tofauti kwenye simu au kuchati. Mara nyingi watu hawa hawawezi kukaa mbali na simu zao na ikitokea wako mbali na simu zao hushtuka na kuwa na hisia simu imepotea.
 
Back
Top Bottom