Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama wewe ni mwanasheria unaweza kutoa huduma za kisheria kwenye jamii kwa gharama ambazo ni rafiki. Kwa mfano kuandalia wenye nyumba mikataba ya upangishaji, kuandalia wafanyabiashara wadogo mikataba ya uajiri, kuwaandalia watu mikataba ya kibiashara na kadhalika. Kuna taasisi nyingi zinafanya hivi lakini zinawafikia wateja wakubwa tu, wewe unaweza kuanza na wateja wadogo na ukajenga biashara yako hapo.