Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Kwena wewe mchina
Kwena wewe mchina
Nasikia ulikua unatibu busha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha*NJIA 4 ZA KUFIKISHA HABARI HARAKA*
1. SIMU
2. REDIO
3. TV
4. MWANAMKE
- Hiyo namba 4 ukitaka ifike haraka zaidi mwambie nimekwambia wewe usimwambie mtu mwingine
iPhone nomaKujua Meseji Imefika na Kusomwa Saa Ngapi
Kama unataka kujua meseji uliyomtumia rafiki yako imefika na kusomwa saa ngapi, basi bofya kwenye meseji unayotaka kujua imefika sangapi kisha bofya kwenye sehemu iliyo na kitufe chenye alama ya (i) kisha utaona meseji yako imefika saa ngapi na kusomwa saa ngapi?
Na kwako mkuuasubuhi njema
Pamoja mkuuamani iwe nasi